Mtu mmoja amefariki dunia katika hospitali ya rufaa ya Mbeya baada ya kukutwa hali mahututi katika nyumba ya kufikia wageni.
Mtu huyo aliyetambuliwa kwa jina la Kassim Rashid (55) mkazi wa Ghana,
Mbeya alifariki dunia wakati akitibiwa katika hospitali hiyo ya rufaa
tarehe 10 Novemba 2014 mwendo wa saa kumi alasiri.
Taarifa ya Polisi kutoka mkoa wa Mbeya imesema kuwa awali majira ya
↧