Aliyekuwa Miss Tanzania 2014 hadi Jumamosi iliyopita, Sitti Mtemvu ametoa kauli yake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutangaza
kujivua taji hilo.
Sitti ambaye taji la alilovua amepewa Lilian Kamazima kupitia twitter aliandika:
Siwezi kuwazuia watu kuongea lakini naweza kujizuia kuzungumza
— Sitii Abbas (@SitiiAbbasMtevu) November 10, 2014
Naye Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete
↧