Wamiliki wa Blogs nchini wametakiwa kuzitumia vyema blog zao katika
kuripoti habari na matukio mbalimbali wakati wa uchaguzi wa serikali za
mitaa, wabunge na urais.
Hayo yamesemwa na Mkurugezi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
(TCRA), Profesa John Nkoma jana alipokuwa akizungumza na wamiliki wa
Blogs katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Profesa Nkoma
↧