Rapper Rashid Abdallah Makwiro aka Chid Benz ambaye yupo nje kwa
dhamana kufuatia kukamatwa na dawa za kulevya uwanja wa ndege Dar es
salaam leo Nov 11 2014 alikwenda tena kwenye Mahakama ya hakimu mkazi
Kisutu Dar es Salaam.
Taarifa kutoka mahakamani hapo zinaarifu kwa, upande wa Jamhuri umeomba kesi ya msanii huyo iahirishwe mpaka December 1 2014 kwa kuwa upelelezi bado
↧