Wafuasi wa (Chadema) wilayani Mpanda jana jioni walilazimika
kutafuta vichochoro vya kukimbilia baada ya polisi kusambaratisha kwa
mabomu ya machozi, maandamano ya kumsindikiza Mwenyekiti wa chama hicho,
Freeman Mbowe baada ya mkutano.
Patashika hiyo
ilitokea baada ya mkutano wa Mbowe kumalizika na wafuasi wake kutaka
kumsindikiza hotelini, jambo ambalo polisi hawakulikubali.
↧