Imekuwa kawaida watu wengi kulalamikia vitendo vya wizi wa vifaa
mbalimbali katika magari eneo la bandari ya Dar es Salaam hali
iliyopelekea Serikali kutoa tamko rasmi juu ya mkakati unaoandaliwa
ili kukomesha wizi huo.
Akizungumzia mkakati huo Naibu Waziri wa Uchukuzi Dkt. Charles John Tizeba amesema;-
“..Wizi
huu umepungua kwa kiasi kikubwa sana na kwa sababu tumehakikisha
↧