Mahakama ya Mwanzo ya Riagoro wilayani Rorya mkoani Mara, imeteketezwa kwa moto na watu wasiojulikana huku nyaraka muhimu zilizokuwamo ndani yake zikiteketea zote.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya, Lazaro Mambosasa, alisema wanalifanyia uchunguzi tukio hilo na inaonyesha haikutokana na hitilafu ya umeme kutokana na kutokuwa na nishati hiyo.
Kamanda Mambosasa alisema
↧