Polisi mkoani Iringa wanawashikilia watu watatu wakiwamo madereva
wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa tuhuma
za kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi alisema tukio hilo
lilitokea jana saa 11 alfajiri katika kituo cha ukaguzi cha Igumbilo
mkoani hapa na baada ya ukaguzi polisi walibaini magunia mawili
↧