Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk Norman Sigalla
WANAFUNZI 46 wa chuo kipya cha kilimo na mifugo cha Nice Dream kilichopo Mtaa wa Mapelele, Kata ya Ilemi jijini Mbeya wamejikuta wakiwa katika wakati mgumu, baada ya kutelekezwa na uongozi wa chuo hicho, kiasi cha kushindwa kupata chakula kwa siku tano mfululizo, hali iliyosababisha baadhi yao kuzirai.
Hayo yameibuka baada ya uongozi wa chuo
↧