Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, jana alifanikiwa kudhibiti kuchafuka
hali ya hewa bungeni baada ya wabunge kutoka Zanzibar kutaka kumpiga Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy, (pichani)
wakichukizwa na kauli yake waliyoitafsiri kuwa ni ya kuikejeli
Zanzibar.
Keissy, ambaye mara kwa mara amekuwa akijikuta akiingia katika msuguano
na wabunge kutoka Zanzibar, alitoa kauli hiyo
↧