KAMPUNI ya simu ya Viettel ya Vietnam inayokua kwa kasi duniani ambayo sasa inahamishia nguvu zake katika soko la Tanzania, imetangaza ajira kwa wasomi wa Tanzania zaidi ya 2,000.
Viettel ambayo uongozi wake wa juu ulikutana na Rais Jakaya Kikwete akiwa ziarani nchini Vietnam hivi karibuni na kuahidi kufanya mapinduzi makubwa katika sekta ya mawasiliano nchini, imetangaza nafasi hizo
↧