Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limemtia mbaroni mganga mmoja
wa jadi anayedaiwa kuteka watoto kwa njia za kishirikina kwa ajili ya
kutolewa kafara.
Mbali na mganga huyo, pia wamemtia
mbaroni mwanamke mmoja, anayedaiwa kusuka mipango ya kutekwa nyara kwa
watoto na kuwahifadhi kwa mganga huyo.
Mganga huyo
ambaye anadaiwa ni mwenyeji wa mkoani Mbeya, alikutwa na mtoto wa kike
↧