Makamu wa Rais Dr Bilal Aiwakilisha Tanzania Kwenye Mazishi ya Rais Sata wa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais wa Zambia Marehemu Michael Chilufya Sata Ikulu mjini Lusaka Zambia jana...
View ArticleMtumie ujumbe wa kumjulia hali na kumpa pole Rais Kikwete kwa kupitia namba...
Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa ajili ya Wananchi kumjulia hali na kumpa pole,ambapo atapokea ujumbe wako na kuujibu.
View ArticleKumekucha Uchaguzi Mkuu 2015: Lowassa Aongoza Vyama Vyote....UKAWA Kushinda...
Kumekucha. Pengine hilo ndilo neno linalofaa kutumika kuelezea matokeo ya utafiti kuhusu kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu 2015 ambayo yanaonyesha kuwa iwapo ungefanyika leo, Waziri Mkuu...
View ArticleNusu ya wabunge hawatarudi bungeni mwakani
Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiendelea na vikao vyake mjini Dodoma, imeelezwa kwamba nusu ya wabunge 239 wa kuchaguliwa waliopo sasa, watabwagwa katika Uchaguzi Mkuu 2015. Hiyo...
View ArticleBaby Madaha: Huwa Situmii Kodom ( Kinga ) Niwapo Kitandani
Baada ya hivi karibuni Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Baby Madaha kusema ameamua kuwapanga wanaume, hivi sasa ameibuka na jipya na kudai kwamba huwa hatumii kinga ‘kondom’ hata siku moja....
View ArticleAskofu Gadi kumuombea Rais Kikwete Apone Haraka
HUDUMA ya maombezi ya Good News for all Ministry imeandaa maombi maalumu kwa ajili ya kumuombea Rais Jakaya Kikwete ili afya yake iweze kuzidi kuimarika na kurejea nchini kuendelea na majukumu yake ya...
View Article"Haturuhusu Wafungwa Kufanya Tendo la Ndoa Gerezani"- Wizara ya Mambo ya Ndani
SERIKALI imesema Tanzania haina sheria ya kuwaruhusu wafungwa kukutana faragha na wenzao wao. Hii ni mara ya tatu kwa serikali kutoa majibu hayo, kutokana na maswali ya wabunge ambapo mara kadhaa...
View ArticleMwanamuziki Geez Mabovu Afariki Dunia
Mwanamuziki wa Hip Hop nchini, Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' amefariki dunia jana usiku akiwa mkoani Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita akitokea jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bwana...
View ArticlePolisi Waagizwa Kuzingatia Sheria Wakati wa Kuwakamata Wahalifu
JESHI la Polisi, sungusungu na askari wengine wameagizwa kuzingatia sheria na kanuni wakati wa kukamata wahalifu ili kupunguza majeruhi na vifo ambavyo hutokea mikononi mwao. Agizo hilo lilitolewa...
View ArticleWafugaji na Wakulima Kiteto Wauana Katika Mapigano
Migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji imeendelea kusababisha mauaji wilayani Kiteto mkoani Manyara baada ya watu watano, wakiwamo wakulima watatu na wafugaji wawili, kuuawa. Mauaji hayo...
View ArticleMbowe: Sina ugomvi na Zitto Kabwe
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hana ugomvi na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa kuwa amemlea na amemesaidia vitu vingi zikiwamo fedha,...
View ArticlePicha za Jack Dustan Akioga Bafuni Zavuja
Msanii wa filamu ambaye sasa amejichimbia Dubai akisaka maisha, Jacqueline Dustan amevujisha picha zinazomuonesha akioga bafuni huku akionekana yuko bwii, jambo ambalo ni kinyume na maadili. Picha...
View ArticleTamko la Serikali Kuhusu Wizi Unaofanywa na Makampuni ya Simu Hapa Nchini
Watumiaji wengi wa huduma ya simu za mkononi wamekuwa wakilalamikia wizi wa pesa unaofanywa na baadhi ya makampuni hayo, jana katika kikao cha Bunge Dodoma Serikali imesema inatambua kuhusu wizi...
View ArticleUtafiti wa Twaweza, Dk Slaa adai ripoti imeandaliwa na Dk Bana kuibeba CCM
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza kuhusu maoni na matakwa ya wananchi juu ya uongozi wa kisiasa nchini, umeibua madai mapya ambayo yanauhusisha na jitihada za kukisaidia chama tawala CCM...
View ArticleWakwepa kodi sasa kufilisiwa.....Yapendekezwa Wakinaswa Watangazwe hadharani,...
SERIKALI imesoma kwa mara ya pili bungeni, Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi (TAA) wa mwaka 2014, ambapo pamoja na mambo mengine, sheria hiyo itafanya wakwepa kodi kutangazwa kwenye vyombo vya...
View ArticleWapinzania wataka mahakama maalumu ya uwekezaji
Serikali ya Tanzania imetakiwa kuanzisha mahakama maalumu itakayokuwa na jukumu la kushughulikia masuala na kesi zinazohusu uwekezaji. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na vyama vitano...
View ArticleMiss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa Kushiriki Mashindano ya Miss World...
MREMBO wa Tanzania wa mwaka 2013, Happiness Watimanywa ameahidi kuing’arisha Tanzania katika mashindano ya ulimbwende ya Dunia yatakayofanyika mapema mwezi ujao huko nchini Uingereza. Akiongea na...
View ArticleMhitimu bora wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2014: Ni binti,apiga A 32,...
Mhitimu bora wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2014, Doreen Kabuche (22), aliushangaza umma uliohudhuria maafali ya 44 ya chuo hicho baada ya kutangazwa kuwa kinara kwa ufaulu kwa kupata alama A...
View ArticleMbowe Ang`ang`ania Pinda Ang`oke
Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), imemtaka Rais Jakaya Kikwete kumfukuza kazi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwa maelezo kuwa ameshindwa kuwachukulia hatua wahusika wa kashfa mbalimbali za...
View ArticlePicha: Mtu mrefu zaidi na mfupi zaidi duniani walipokutana kwenye ‘Guinness...
Watu wawili ambao wanashilikilia rekodi ya mtu mrefu zaidi duniani na mtu mfupi zaidi duniani walikutana kwa mara ya kwanza kwenye maadhimisho ya ‘Guinness World Record Day’ huko London, Uingereza...
View Article