Mrisho Mpoto yupo kwenye mazunguzo kufanya kolabo na Oliver Mtukudzi
Kuna uwezekano mkubwa wa kolabo kati ya Mrisho Mpoto na msanii wa Zimbabwe, Oliver Mtukudzi. Akizungumza na mwandishi wetu, Mpoto amesema mazungumzo yao yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa hali iliyompa...
View ArticleDiamond amtaja msanii wa Marekani ambaye ana ndoto ya kufanya naye collabo
Tumeshasikia kuwa kuna msanii wa Marekani ambaye Diamond Platnumz tayari amefanya naye collabo ingawa bado hajamuweka wazi, lakini hivi karibuni alimtaja msanii mkubwa wa Mareknai ambaye ana ndoto ya...
View ArticleMoto uliozuka katika jengo la Machinga Complex jijini Dar wadhibitiwa
Moto mkubwa uliozuka leo mchana katika jengo la biashara Machinga Complex Ilala jijini Dar es salaam, umedhibitiwa baadaa ya kuteketeza mali katika baadhi ya maduka. Akizungumza na mwandishi wetu,...
View ArticleRais Kikwete atoka wodini, familia ya Nyerere yatuma salamu
Rais Jakaya Kikwete ametoka wodini katika Hospitali ya Johns Hopkins na kuhamishiwa kwenye hoteli maalumu ambako ataendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari. Rais Kikwete alifanyiwa upasuaji wa...
View ArticleMchungaji Afariki Dunia Akijaribu kutembea juu ya Maji kama Yesu
Mchungaji kutoka Nigeria, Frank Kabele akizama alipojaribu kutembea juu ya maji kama Yesu. ...Akiomba msaada kutoka kwa waumini wake bila mafanikio. Mchungaji kutoka Nigeria, Frank Kabele (35)...
View ArticleGharama mpya za Muhimbili zasitishwa.....nI Tozo ya Kitanda na Chakula kwa...
SERIKALI imesitisha ongezeko la tozo zilizoanza kutumika hivi karibuni katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), ambayo ndiyo yenye vifaa tiba na madaktari wenye uwezo mkubwa kuliko hospitali...
View ArticleSerikali yataja vijiwe vyote vya wauza ‘unga’
SERIKALI imetaja vijiwe vya wauzaji wa dawa za kulevya ‘unga’ vilivyopo katika mikoa mbalimbali nchini. Pia, imesema inafanya uchunguzi ili kubaini kama Watanzania waliokamatwa na dawa za kulevya...
View ArticleWabunge Wataka Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Ang'olewe
Baadhi ya Wabunge wameomba mwongozo wa kutaka kuchunguzwa kwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bwana Willison Kabwe kutokana tuhuma za kuipatia kazi kampuni ya Tanzania Buildings Works ambayo...
View ArticleMastaa Wanaomuunga mkono Lowassa Wajipanga kumfanyia Sherehe ya kumpongeza...
Siku chache baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutangazwa kuwa anaongoza katika kinyang’anyiro cha urais 2015, mastaa mbalimbali wanaomuunga mkono wameandaa mkakati wa kumfanyia sherehe ya...
View ArticleKikongwe mbaroni kwa ubakaji
Polisi mkoani Klimanjaro inamshikilia mzee Mungai Molel(75) kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka 11 wa shule ya msingi Okaseni na kumjeruhi vibaya sehemu za siri. Kamanda wa Polisi mkoani humo...
View ArticleMtoto Ajeruhiwa Vibaya Akituhumiwa Kuiba Paka
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Mengwe, Adinani Kingazi amemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela, Gedfrey Kimaria (35) baada ya kukutwa na hatia ya kumjeruhi vibaya mtoto wa miaka sita kwa kumng’ata...
View ArticleMauaji yazidi kutikisa Kiteto....Waliopoteza UHAI Wafika 7
Mapigano baina ya wakulima na wafugaji Wilayani Kiteto mkoani Manyara, yameendelea tena, ambapo watu wengine wawili wamefariki dunia jana na kufanya idadi ya waliouawa kuwa saba. Awali, Novemba 11,...
View ArticleUrais CCM kazi pevu....Makundi Matano kuingia Tano Bora, kundi la kifo ndo...
Wakati joto la urais ndani ya CCM likiendelea kupamba moto, watu watakaoingia kundi la tano bora ambalo litapitishwa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), wamefahamika. Uchambuzi uliofanywa na...
View ArticleMtoto anayedaiwa kugeuka nyoka azua kizaazaa Geita
Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi minne amezua kizaazaa cha aina yake, baada ya kuwapo taarifa kwamba mara kadhaa umbo lake limekuwa likigeuka na kuwa nyoka na mwili wake ukiendelea kudhoofu kutokana...
View ArticleMgogoro wa Wafugaji na Mwekezaji: Magari 9 Yachomwa Moto, Nyumba 16 Zatiwa...
Mgogoro mkubwa wa kugombea malisho umeibuka katika kijiji cha Miti Mirefu, wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, baina ya jamii ya kifugaji ya Kimasai na Mwekezaji katika shamba la Ndarakwai, na...
View ArticleMbaroni kwa kumbaka mtoto wa jirani yake.....Aliyebakwa ni mtoto wa miaka...
Mtoto wa miaka (5) mkazi wa Kijiji cha Kabuhima Kata ya Uyovu Wilaya ya Bukombe mkoani Geita amefanyiwa ukatili wa kinyama baada ya kubakwa na jirani yao. Mtuhumiwa anayedaiwa kufanya kitendo hicho...
View ArticleSitti Mtemvu Aiponza Miss Tanzania
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), wanatarajia kuifanyia tathmini Kamati ya Miss Tanzania kujua mapungufu yaliyopo ili kuchukua hatua stahiki....
View ArticleWatoto Wawili wa kike Wabakwa na Mwanaume Mwenye Virusi Vya...
Taarifa kutoka katika mitandao ya Nigeria imesema watoto wadogo wawili ndugu, mmoja mwenye umri wa miaka sita na mwingine miaka nane wamebakwa na mwanaume ambaye amewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi...
View ArticleRisasi zatumika Kuwatawanya WEZI wa mafuta Ya Petrol Waliovamila Lori...
Ilikuwa ni hekaheka, patashika nguo kuchanika, wakati risasi na mabomu ya machozi ziliporindima kutoka kwa Jeshi la Polisi kuwatawanya wananchi waliokuwa wakichota mafuta yaliyomwagika kutoka kwenye...
View ArticleMwanamke Anyolewa Nywele kwa Kisu baada ya Kufumaniwa na Mume wa...
Mwanamke mmoja ambaye ni mke wa mtu amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufumaniwa na mume wa mtu kupitia njia za panya zilizoandaliwa na mke wa mwanaume huyo.... Baada...
View Article