Moto mkubwa uliozuka leo mchana katika jengo la biashara Machinga
Complex Ilala jijini Dar es salaam, umedhibitiwa baadaa ya kuteketeza mali
katika baadhi ya maduka.
Akizungumza na mwandishi wetu, Mwenyekiti wa bodi ya usimamizi wa jengo
la Machinga Complex, Godwin Mmbaya amesema moto huo umedhibitiwa na hali
ni shwari.
“Tunashukuru Mungu moto umedhibitiwa kabla haujasambaa zaidi,
↧