Tumeshasikia kuwa kuna msanii wa Marekani ambaye Diamond Platnumz
tayari amefanya naye collabo ingawa bado hajamuweka wazi, lakini hivi
karibuni alimtaja msanii mkubwa wa Mareknai ambaye ana ndoto ya kufanya
naye pia collabo.
Akizungumza na show ya Sporah, Diamond amesema licha ya kufanikiwa
kufanya collabo na baadhi ya wasanii wakubwa wa Africa kama Davido,
Iyanya, Mafikizolo na
↧