Kuna uwezekano mkubwa wa kolabo kati ya Mrisho Mpoto na msanii wa Zimbabwe, Oliver Mtukudzi.
Akizungumza na mwandishi wetu, Mpoto amesema mazungumzo yao yamefanikiwa
kwa kiasi kikubwa hali iliyompa matumaini ya kuwepo kwa kolabo hiyo.
“Nimefanya mazungumzo ya kolabo na Oliver Mtukudzi wa Zimbabwe
kwahiyo kuna possibility kubwa kidogo ya kufanya na Oliver Mtukudzi,”
amesema Mpoto.
↧