Watu wawili ambao wanashilikilia rekodi ya mtu mrefu zaidi duniani na
mtu mfupi zaidi duniani walikutana kwa mara ya kwanza kwenye
maadhimisho ya ‘Guinness World Record Day’ huko London, Uingereza
Nov.13.
Mtu mrefu zaidi anaitwa Sultan Kösen kutoka uturuki ana urefu wa futi
8, huku mtu mfupi zaidi aitwaye Chandra Dangi kutoka Nepal ana urefu wa
inchi 21.5.
↧