Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), imemtaka Rais Jakaya Kikwete kumfukuza kazi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwa maelezo kuwa ameshindwa kuwachukulia hatua wahusika wa kashfa mbalimbali za ufisadi zinazoendelea kuiandama nchi na kusababisha wafadhili kusitisha misaada.
Kambi hiyo imesema kutokana na hali hiyo, inamtaka Rais Kikwete kuunda serikali upya, vinginevyo itaanza maandalizi
↧