Rais Jakaya Kikwete ametoka wodini katika Hospitali ya Johns
Hopkins na kuhamishiwa kwenye hoteli maalumu ambako ataendelea kuwa
chini ya uangalizi wa madaktari.
Rais Kikwete alifanyiwa upasuaji wa tezi dume wiki iliyopita na afya yake imekuwa ikiimarika siku hadi siku.
Makundi
mbalimbali ya wananchi yamekuwa yakimtakia uponaji wa haraka kwa njia
ya ujumbe mfupi wa simu.
↧