Polisi mkoani Klimanjaro inamshikilia mzee Mungai Molel(75) kwa
tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka 11 wa shule ya msingi Okaseni na
kumjeruhi vibaya sehemu za siri.
Kamanda wa Polisi
mkoani humo Geofrey Kamwela, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na
kwamba lilitokea Novemba 12 mwaka huu saa 12:00 jioni kijiji cha Kitandu
kata ya Uru Kusini.
Kamwela alisema mtuhumiwa huyo
↧