Siku chache baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward
Lowassa kutangazwa kuwa anaongoza katika kinyang’anyiro cha urais 2015,
mastaa mbalimbali wanaomuunga mkono wameandaa mkakati wa kumfanyia
sherehe ya kumpongeza.
Chanzo kimoja kilichopo ndani ya kamati ya wasanii hao wa Bongo
Movies kimesema kuwa kitendo cha Taasisi ya Twaweza kutangaza kuwa Lowassa anaongoza
na kuwagaragaza makada
↧