Baadhi
ya Wabunge wameomba mwongozo wa kutaka kuchunguzwa kwa Mkurugenzi wa
jiji la Dar es salaam Bwana Willison Kabwe kutokana tuhuma za kuipatia
kazi kampuni ya Tanzania Buildings Works ambayo imeshindwa kutekeleza
miradi ya ujenzi katika mikoa yote aliyoiongoza ikiwemo Mbeya na Mwanza
na kusababisha hasara ya zaidi ya shilingi bilioni Tatu.
Akiomba mwongozo wa spika kufuatia
↧