SERIKALI imetaja vijiwe vya wauzaji wa dawa za kulevya ‘unga’ vilivyopo katika mikoa mbalimbali nchini.
Pia, imesema inafanya uchunguzi ili kubaini kama Watanzania waliokamatwa na dawa za kulevya nchini China ni Watanzania kwa kuzaliwa au ni watu waliotumia tu pasi za kusafiria (pasipoti) za Tanzania.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na
↧