Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Mengwe, Adinani Kingazi
amemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela, Gedfrey Kimaria (35) baada ya
kukutwa na hatia ya kumjeruhi vibaya mtoto wa miaka sita kwa kumng’ata
mgongoni kwa madai ya kuiba paka.
Kesi hiyo ilivuta
hisia za watu wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro na wananchi wilayani
humu walifurika katika mahakama hiyo kusikiliza hukumu ya kesi
↧