Mapigano baina ya wakulima na wafugaji Wilayani Kiteto mkoani
Manyara, yameendelea tena, ambapo watu wengine wawili wamefariki dunia
jana na kufanya idadi ya waliouawa kuwa saba.
Awali,
Novemba 11, mkulima Hassan Kondeja mkazi wa Kitongoji cha Bwawani Kijiji
cha Matui aliuawa kwa kukatwa shingo na wafugaji na ndipo yakatokea
mauaji ya wakulima wawili na wafugaji wawili.
↧