Wakati joto la urais ndani ya CCM likiendelea kupamba moto, watu
watakaoingia kundi la tano bora ambalo litapitishwa na Halmashauri Kuu
ya Taifa ya CCM (NEC), wamefahamika.
Uchambuzi
uliofanywa na makada mbalimbali wa chama hicho unaonyesha kuwa makundi
hayo ambayo yatatoa wagombea mmoja, ni kundi la wagombea vijana, kundi
la kifo, kundi la waziri mkuu aliyepo madarakani, wagombea
↧