Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi minne amezua kizaazaa cha
aina yake, baada ya kuwapo taarifa kwamba mara kadhaa umbo lake limekuwa
likigeuka na kuwa nyoka na mwili wake ukiendelea kudhoofu kutokana na
kukataa kunyonya maziwa ya mama yake.
Mtoto huyo (jina
lake tunalihifadhi kwa sasa), wiki iliyopita alivuta umati wa wakazi wa
Kijiji cha Nkome mkoani Geita ambao walifurika ndani
↧