Mgogoro mkubwa wa kugombea malisho umeibuka katika kijiji cha Miti
Mirefu, wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, baina ya jamii ya kifugaji ya
Kimasai na Mwekezaji katika shamba la Ndarakwai, na kusababisha ugomvi
hata kuzua hali ya wasiwasi katika eneo hilo ambapo magari tisa
yameteketezwa kwa moto huku nyumba zaidi ya 16 zikichomwa moto.
Vurugu hizo zilizuka hivi karibuni kati ya
↧