Mtoto wa miaka (5) mkazi wa Kijiji cha Kabuhima Kata ya Uyovu
Wilaya ya Bukombe mkoani Geita amefanyiwa ukatili wa kinyama baada ya
kubakwa na jirani yao.
Mtuhumiwa anayedaiwa kufanya
kitendo hicho cha kikatili inadaiwa kuwa alimkuta mtoto huyo anacheza
mlangoni kwao akiwa hajavalishwa nguo ya ndani na wazazi wake jambo
lililpelekea kufanya ukatili huo.
Akizungumuza na
↧