Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Baraza la
Sanaa la Taifa (Basata), wanatarajia kuifanyia tathmini Kamati ya Miss
Tanzania kujua mapungufu yaliyopo ili kuchukua hatua stahiki.
Utata wa umri wa aliyekuwa mshindi wa taji la
mwaka huu, Sitti Mtemvu, unaonekana kama chanzo cha kuibuka kwa matatizo
mengine yaliyokuwa yakidaiwa kufanyika kinyume cha taratibu za
↧