Ilikuwa ni hekaheka, patashika nguo kuchanika, wakati risasi na
mabomu ya machozi ziliporindima kutoka kwa Jeshi la Polisi kuwatawanya
wananchi waliokuwa wakichota mafuta yaliyomwagika kutoka kwenye lori la
mafuta aina ya scania lililopata ajali.
Sinema ilianza
saa tatu usiku wa kuamkia jana baada ya lori hilo lililobeba shehena ya
mafuta ya petroli, kushindwa kupanda mlima,
↧