Aunt Lulu Akiri Wasanii Wa Kike Kujiuza Mitandaoni
Mwanadada mwenye umbo la utata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ ameibuka na kueleza kwamba mastaa wamegundua njia mpya ya kujiuza ambayo ni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii. Akiongea na Gpl,...
View ArticleFlaviana Matata Avishwa Pete Ya Uchumba !
Mwanamitindo wa kimataifa anayetokea Tanzania, Flaviana Matata ambaye amekuwa akiishi Marekani, kafungua ukurasa mpya kwenye maisha yake baada ya kuvishwa pete ya Uchumba. Kwa furaha aliyokua...
View ArticleBig Brother Africa: Idris apeta, Samantha na Mr. 265 wayaaga mashindano
Mwakilishi wa Tanzania aliyesalia kwenye shindano la Big Brother Africa, Idris Sultan ataendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania baada ya Jumapili hii kuokolewa na kura za mashabiki barani kote. Hata...
View ArticleProf Maghembe asema urais si mashindano ya urembo
Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe ameshangazwa na utitiri wa watu wanaotaka kugombea urais kwenye Uchaguzi Mkuu 2015, akisema nafasi hiyo ya juu nchini haifanani na mashindano ya urembo ambayo...
View ArticleKimenuka: Ripoti ya CAG yabaini fedha zote akaunti ya Escrow IPTL ni za umma...
Matokeo ya ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusiana na kuchotwa kwa Sh. bilioni 306 kifisadi kwenye akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania...
View ArticleMembe akerwa na ripoti ya mbio za urais 2015.....Ni ya Twaweza aliyoshika...
Twaweza Jumatano iliyopita ilitoa ripoti ya utafiti, pamoja na mambo mengine ikionyesha baadhi ya majina ya wagombea urais wanavyokubalika kwa wananchi ikiwa uchaguzi wa rais ungefanyika Septemba...
View ArticleLady Jaydee: Mimi Siyo Yesu Wala Bikra Maria
Wakati kukiwa na maneno mengi juu ya madai ya kuvunjika kwa ndoa yake na mtangazaji maarufu Bongo wa Redio E-FM, Gardner G Habash ‘Kepteini’, supastaa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo a.k.a Jide...
View ArticleRais Kikwete akutana na Jaji Mkuu wa Tanzania na ujumbe wake waliomtembelea...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu waTanzania Mhe Mohamed Chande Othman pamoja na ujumbe wake walipomtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na...
View ArticleMaendeleo ya Nchi hii Yataletwa na CCM - Nape
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye (pichani), amesema maendeleo kamwe hayawezi kupatikana kwa njia ya matusi na kufarakanisha wananchi kama wanavyofanya viongozi wa...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View ArticleWatu 13 mbaroni kwa mauaji ya Kiteto
Polisi mkoani Manyara wanawashikilia zaidi ya watu 13 wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya wakulima na wafugaji yaliyotokea wiki iliyopita katika Kata za Matui na Kiperesa wilayani hapa. Kamanda wa...
View ArticleJe, Una Mwili Mwembamba au Umedhoofika kutokana na Maradhi?.....Bofya hapa...
Je una mwili mwembamba na unataka kuongeza na kunenepesha mwili wako ? Umedhoofika kutokana na maradhi mbalimbali na unataka kurejesha afya yako na mwili wako ? Unataka...
View ArticleRipoti Maalumu ya CAG Kuhusu Akaunti ya Escrow Yakabidhiwa Kwa Mwenyekiti wa...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akikabidhi Ripoti maalumu ya CAG Kuhusu akaunti ya ESCROW kwa Mwenyekiti wa PAC Mhe. Zitto Kabwe na Kaimu wake Mh. Deo...
View ArticleMtoto Mwingine Atekwa, Akatwa Nyeti na Kuuawa
Wimbi la utekaji na mauaji ya watoto katika Jiji la Dar bado ni tishio kufuatia wiki iliyopita, maiti ya mtoto Nuru Mohamed (7) mkazi wa Majohe Kichangani Wilaya ya Ilala, kuokotwa ikiwa imeharibika...
View ArticleViongozi Manyara, Kiteto Wakalia Kuti Kavu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali itafanya mabadiliko ya kiutawala katika ngazi mbalimbali Wilaya ya Kiteto na Mkoa wa Manyara wiki hii ili kuimarisha uongozi kukabiliana na mauaji ya...
View ArticleWerema,Maswi,Mboma Wapumulia Mashine.....Ni Kuhusiana na Kashfa akaunti ya...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) inatarajia kuwahoji Mwanasheria Mkuu (AG), Jaji Frederick Werema, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Eliachim Maswi, Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la...
View ArticleLaveda Azungumza na Global Tv Online......Akanusha Kujichua ( Kupiga Puli)...
Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania katika Big Brother Africa Hotshots, Irene Laveda wiki amezungumza na Global tv online kuhusiana na maisha yake ndani ya jumba la Big Brother. Ifuatayo ni...
View ArticleHuddah Monroe aiunga mkono kampeni ya ‘MydressMychoice’
Staa wa Kenya, Huddah Monroe amewaunga mkono wanawake nchini Kenya waliondamana kudai haki ya kuvaa nguo wanazopenda ‘MydressMychoice’. Akizungumza na BBC mmoja ya wanawake hao, alisema ameamua...
View ArticleDully Sykes na Maunda Zorro Waachia Wimbo wa Matusi (18+)
Dully Sykes na Maunda Zorro wameungana kufanya wimbo wa matusi... Ngoma hiyo inaitwa That’s the Way ambapo Dully mwanzo mwisho anarap kuhusu KUS3X.. na huku Maunda akisikika akilia milio ya uliwaji.....
View ArticleDesire Luzinda: Picha ya UCHI imenipa umaarufu ambao sikuwahi kuupata kupitia...
Licha ya kuwa tukio la kuvuja kwa picha za utupu limempa picha mbaya kwa jamii muimbaji wa Uganda Desire Luzinda, lakini upande mwingine limemuongezea umaarufu mkubwa kwa muda mfupi ambao hakuwahi...
View Article