Matokeo ya ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusiana na kuchotwa kwa Sh. bilioni 306 kifisadi kwenye akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) umeiweka matatani Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), huku yakizitambua fedha hizo kuwa ni za umma.
Ofisi ya AG inadaiwa kuingia matatani, baada ya ripoti ya ukaguzi huo
↧