Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe ameshangazwa na utitiri
wa watu wanaotaka kugombea urais kwenye Uchaguzi Mkuu 2015, akisema
nafasi hiyo ya juu nchini haifanani na mashindano ya urembo ambayo mtu
yeyote anaweza kujaribu.
Mbunge huyo wa Mwanga alisema
watu hao wanaojitokeza kuwania urais hawaelezi wanataka kulifanyia nini
Taifa na akashauri wasioweza kueleza hoja zao
↧