Mwakilishi wa Tanzania aliyesalia kwenye shindano la Big Brother
Africa, Idris Sultan ataendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania baada
ya Jumapili hii kuokolewa na kura za mashabiki barani kote.
Hata hivyo Idris anaweza akawa amejeruhiwa kwa mara ya kwanza baada
ya rafiki yake wa karibu, Samantha wa Afrika Kusini kuondolewa. Mrembo
huyu ameungana na mwakilishi wa Malawi Mr. 265
↧