Twaweza Jumatano iliyopita ilitoa ripoti ya utafiti, pamoja na mambo mengine ikionyesha baadhi ya majina ya wagombea urais wanavyokubalika kwa wananchi ikiwa uchaguzi wa rais ungefanyika Septemba mwaka huu.
Katika orodha hiyo, Membe alishika nafasi ya tano kwa kupata asilimia tano, huku akitanguliwa na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa aliyeshika nafasi ya kwanza kwa kupata asilimia 13
↧