Wakati kukiwa na maneno mengi juu ya madai ya kuvunjika kwa ndoa yake
na mtangazaji maarufu Bongo wa Redio E-FM, Gardner G Habash ‘Kepteini’,
supastaa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo a.k.a Jide au Jaydee
amefunguka kuwa naye si mkamilifu kwani siyo Yesu wala Bikira Maria.
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, wikiendi iliyopita Jide
aliamua kuvunja ukimya kufuatia maswali
↧