Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) inatarajia kuwahoji
Mwanasheria Mkuu (AG), Jaji Frederick Werema, Katibu Mkuu Wizara ya
Nishati na Madini, Eliachim Maswi, Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la
Umeme Tanzania (Tanesco), Robert Mboma na wengine waliotajwa katika
kashfa ya kuchotwa Sh. bilioni 306 ya akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya
Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Hatua hiyo
↧