Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali itafanya mabadiliko
ya kiutawala katika ngazi mbalimbali Wilaya ya Kiteto na Mkoa wa Manyara
wiki hii ili kuimarisha uongozi kukabiliana na mauaji ya wakulima na
wafugaji yaliyosababisha vifo vya watu 17 tangu Januari 12 mwaka huu
hadi sasa.
Pinda alisema hayo bungeni mjini Dodoma jana
wakati akitoa taarifa kuhusu vurugu zinazoendelea
↧