Wimbi la utekaji na mauaji
ya watoto katika Jiji la Dar bado ni tishio kufuatia wiki iliyopita,
maiti ya mtoto Nuru Mohamed (7) mkazi wa Majohe Kichangani Wilaya ya
Ilala, kuokotwa ikiwa imeharibika vibaya, tena baadhi ya viungo vyake
vikiwa vimenyofolewa.
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Novemba
6, mwaka huu, majira ya saa 12 jioni, baada ya watoto wenzake aliokuwa
akicheza nao
↧