Diamond aonjesha picha ya video mpya na model mrembo wa kizungu!
Diamond Platnumz alipata A kwenye somo la kucheza na akili ya mashabiki wake. Siku za hivi karibuni staa huyo amekuwa akitease mashairi ya kile kinachoonekana kama wimbo wake ujao. Na sasa amewapa...
View ArticleTanzania yaingia kwenye kashfa mpya, ni mpango wa kuwahamisha wamasai 40,000...
Ikiwa bado Tanzania inakabiliwa na skendo ya pembe za ndovu zinazodaiwa kuondoka na ndege ya rais wa China alizuru nchini, kashfa nyingine kubwa imezuka! Tanzania inashutumiwa kurejesha mpango wa...
View ArticleHospitali Za Serikali Majanga Matupu.....Muhimbili Vifo Nje Nje!
Hakufai. Pengine ni neno linaloweza kuwakilisha uhalisi wa hali ilivyo katika baadhi ya hospitali kadhaa za Serikali nchini, ambako mamia ya wagonjwa wanateseka kutokana na uhaba wa dawa, vitendanishi...
View ArticleMkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu Aongeza Askari Kiteto...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akimsikiliza Diwani wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto Bw.Athuman Kidawa wakati alipofanya ziara wilayani humo kufuatia kuwepo kwa migogoro ya ardhi baina...
View ArticleSijatangaza Kugombea Au Kutogombea Urais- Dkt. Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema hajatangaza kugombea au kutogombea Uraisi kwa Awamu nyingine visiwani humo na wanaomtangazia kuwa hagombei tena...
View ArticleMwanamke Afanyiwa Ukatili wa Kutisha Jijini Arusha
Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Olkokola Wilayani Arumeru Mkoani Arusha amefanyiwa ukatili wa kutisha kwa kukatwakatwa na Panga kichwani na kuondolewa kiganja cha Mkono, sikio na sehemu nyingine za...
View ArticleSoko la Vinyago Arusha lateketea kwa moto
Soko la vinyago lililoko karibu na ofisi ya CCM wilaya ya Arusha limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia tarehe 18 Novemba 2014 na kusababisha hasara ya mabilioni ya fedha....
View ArticleTarehe ya kujiandikisha kwa ajili ya chaguzi za Serikali za Mitaa
Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Bwana Kharist Michael Luanda amesema wananchi wanapaswa kujiandikisha katika daftari maalum la kupigia...
View ArticleWema Sepetu Aanika Kisa Cha Kuachana na Diamond
MISS Tanzania 2006/07 ambaye ni staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, amevunja ukimya kwa kuamua kuanika kisa cha yeye kummwaga aliyekuwa mwandani wake, nyota wa Bongo...
View ArticleMiss Sinza 2001, Husna Maulid Akumbwa na Skendo ya Picha Za Utupu
Miss Sinza 2001 na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid ameonesha kuwa ni sikio la kufa baada ya kupiga picha za utupu kwa mara nyingine. Picha hizo zilizotapakaa kwenye mitandao...
View ArticleUdini vyuo vikuu : Serikali yapiga marufuku wanafunzi kufanya mitihani siku...
Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imezuia uongozi wa vyuo vikuu nchini kuwalazimisha wanafunzi kuingia darasani au kufanya mitihani kwa siku zao za ibada. Ingawa hazikutajwa, siku...
View ArticlePolisi aliyeua mwanafunzi wa Chuo Kikuu jijini Mbeya ahukumiwa kifo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya imemhukumu kunyongwa hadi kufa polisi wa upelelezi, Maduhu, F 5842, aliyekuwa akikabiliwa na shitaka la mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU),...
View ArticleMfanyabiashara Afariki Dunia Akifanya Mapenzi Ndani Ya Gari Lake Huko Kagera
Polisi mkoani Kagera inachunguza kifo cha mmiliki wa ukumbi wa klabu ya usiku ya Linas Night, Leonard Mtensa (50) ambaye inadaiwa alifariki dunia wakati akifanya mapenzi kwenye gari lake. Kamanda wa...
View ArticleVijana, wanawake waongoza kwa maambukizi ya UKIMWI
Tume ya kudhibiti ukimwi nchini Tanzania TACAIDS imelitaja kundi la Wanawake na Vijana wenye umri wa kuanzia miaka 15 hadi 25 kuwa ndio makundi makubwa yanayoongoza kwa kuwa na virusi vya ugonjwa...
View ArticleTaarifa ya Haraka kwa Vyombo vya Habari Kuhusu Mpango wa Serikali Kuwahamisha...
Sisi Viongozi wa Mila, Kisiasa, Wawakilishi wa Wanawake tumesikitishwa sana na Taarifa ya uongo aliyoitoa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu juu ya ukweli wa Mgogoro wa Loliondo....
View ArticleRais Kikwete atolewa nyuzi.....Afya yake inaimarika na Anaendelea Vizuri
Rais Jakaya M. Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wiki iliyopita. Rais Kikwete anatarajiwa...
View ArticleSerikali kuja na adhabu mbadala kwa makosa madogo ili kupunguza msongamano...
Serikali ya Tanzania imesema ipo kwenye mchakato wa kuandaa adhabu mbadala kwa wahalifu wa makosa madogo madogo ili kupunguza msongamano magerezani ambao kwa sasa unapelekea hali mbaya katika Magereza...
View ArticleKaimu Rais Atimuliwa Zambia
Aliyekuwa rais wa mpito nchi ya Zambia, Guys Scott. Chama tawala nchini Zambia (PF) kimemtimua kaimu rais wa nchi hiyo Guys Scott kutoka chamani kwa kuvunja utaratibu wa katiba. Taarifa hii ni kwa...
View ArticleMbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono Alishwa SUMU
Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono amelishwa sumu wakati akiwa kwenye safari ya kikazi jijini London nchini Uingereza, imeelezwa. Kwa mujibu wa tovuti ya The Citizen, Mkono ambaye pia ni...
View ArticleSita wafariki kwa kupigwa na radi Songea
Watu Sita wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa wilayani Songea mkoani Ruvuma baada ya kupigwa na radi kufuati mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo. Kamanda wa polisi wa mkoa wa...
View Article