Hakufai. Pengine ni neno linaloweza kuwakilisha uhalisi wa hali
ilivyo katika baadhi ya hospitali kadhaa za Serikali nchini, ambako
mamia ya wagonjwa wanateseka kutokana na uhaba wa dawa, vitendanishi na
vifaa tiba ambao umeendelea kuzikumba.
Wengi wa
wagonjwa waliohojiwa wanalalamikia kushindwa kumudu gharama za dawa
ambazo wanapaswa kuzinunua kwenye maduka wakisema hali hiyo
↧