Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP
Ernest Mangu akimsikiliza Diwani wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto
Bw.Athuman Kidawa wakati alipofanya ziara wilayani humo kufuatia kuwepo
kwa migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji iliyosababisha
kutokea mapigano yaliyosababisha kutokea kwa vifo.kushoto ni Afisa
tarafa wa Matui Bw.Eliakimu Ndelekwa.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
↧