Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein amesema hajatangaza kugombea au kutogombea Uraisi kwa Awamu
nyingine visiwani humo na wanaomtangazia kuwa hagombei tena waache
kudanganya.
Dkt.
Shein ametoa kauli hiyo Visiwani humo wakati akizungumza na viongozi
na wanachama wa CCM, ikiwa ni miongoni mwa mikakakati ya kuimarisha
chama ambapo amesema
↧