Mwanamke
mmoja mkazi wa kijiji cha Olkokola Wilayani Arumeru Mkoani Arusha
amefanyiwa ukatili wa kutisha kwa kukatwakatwa na Panga kichwani na
kuondolewa kiganja cha Mkono, sikio na sehemu nyingine za mwili wake
Mwanamke huyo anayefahamika kwa jina la Paulina Joseph amefanyiwa
ukatili huo na mtu anayedaiwa kuwa ni shemeji yake kwa madai ya
kuingilia ndoa yake.
Tukio hilo
↧