Soko la vinyago lililoko karibu na ofisi ya CCM wilaya ya Arusha limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia tarehe 18 Novemba 2014 na kusababisha hasara ya mabilioni ya fedha.
Wananchi na wafanyabiashara ambao vibanda na mali zao zote zimeteketea wamesema walianza kupata taarifa za moto huo usiku wa kati ya saa tatu na saa Nne na
↧