Ikiwa bado Tanzania
inakabiliwa na skendo ya pembe za ndovu zinazodaiwa kuondoka na ndege ya
rais wa China alizuru nchini, kashfa nyingine kubwa imezuka!
Tanzania inashutumiwa kurejesha mpango wa kuwahamisha wamasai 40,000
katika eneo waliloishi kwa miaka na miaka, ili kuipa eneo hilo familia
ya kifalme ya Dubai kwaajili ya kuwinda wanyama.
Mwaka jana serikali ilidai kuahirisha
↧