Diamond Platnumz alipata A kwenye somo la kucheza na
akili ya mashabiki wake. Siku za hivi karibuni staa huyo amekuwa
akitease mashairi ya kile kinachoonekana kama wimbo wake ujao. Na sasa
amewapa mashabiki wake kitu kingine.. picha inayoonekana kuwa ni video
yake mpya.
Hicho ndicho kitu pekee ambacho staa huyo huwa hatua 100 mbele zaidi
ya wasanii wengi katika kazi zake. Kupitia
↧