MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya imemhukumu kunyongwa hadi kufa polisi wa
upelelezi, Maduhu, F 5842, aliyekuwa akikabiliwa na shitaka la mauaji ya
mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU), Daniel Mwakyusa.
Aidha,
mahakama hiyo imewaachia huru washitakiwa wengine wawili wa kesi hiyo,
polisi wa upelelezi, Shaaban, F 7769, na polisi wa kike mpelelezi,
Neema, F 6545, baada ya
↧